Wednesday, March 21, 2012

Abiria wanapoharibikiwa na basi safarini

Abirira wa Basi la Champion lifanyalo safari zake kati ya Dar-Dodoma wakiwa wamesimama huku wakitafakali la kufanya mara baada ya basi hilo walilokuwa wakisafiria kuharibika wakati likiwa safarini nje kidogo ya mji wa Morogoro. 

No comments: