Wednesday, March 21, 2012

Mahindi yakichomwa sana ya ya Ugali hupungua mno!

Mwanamama ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja akifanya biashara ya kuchoma mahindi katika barabara ya Nairobi,Jijini Arusha.Wakina mama wengi jijini humu hujishughulisha na biashara mbali mbali hata zile ambazo hapo awali zilikuwa zikifanywa na kina baba. 

No comments: