Monday, March 5, 2012

Busu la "halali" lina raha sana!

Demi Hines akimbusu mume wake Airman Michael Hines aliporejea kutoka kituo cha kijeshi cha Marekani Stennis hadi Naval Base Kitsap Bremerton mnamo March 2 huko Bremerton, Wash. Airman Hines amemaliza kipindi chake cha kwanza cha kulitumikia jeshi hilo

No comments: