Monday, March 5, 2012

Askari wa kike wanapambwa kwanza kabla ya kuanza kazi huko Ukraine

Hapa zoezi likiendelea, nywele zinachanwa kwa mitindo tofauti kadri askari anavyohitaji, gharama yote ni kwa Serikali, Duuh!

Ona huyu akipigwa "Spray", full kunukia, full mvuto ati!!

Hapa akihakikishiwa kwamba style aliyowekewa ni nzuri, tabasamu lake linadhihirisha anakubaliana na style hio

Waangalie hawa wawili hapa mbele na yule wa nyuma kulia, wanavutia kwa kweli

Mbwa huyu anashangaa jinsi warembo walivyopendeza, ingawa amekodoa macho kwenye hivyo vimini, sijui amevutiwa na nini!

Hatimaye kazi imekamilika, wote napendeza na ukumbuke wamepambwa na WANAUME. Nimeamini kila MWANAMKE mwenye mafanikio nyuma yake kuna MWANAUME, ahhahaaaaaaa!

No comments: