Thursday, March 1, 2012

Jana haikuwa rahisi STARS kuwafunga MAMBAS

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' jana imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Msumbiji ‘Mambas’, katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa Afrika itakayofanyika mwaka kesho 2013 huko Afika ya Kusini, katika mchezo uliomalizika jioni ya leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Neno ""MAMBAS" linatokana na "Black Mamba" aina ya nyoka mwenye sumu kali sana, na WALA SIO Mamba (Crocodile) kama baadhi ya wanahabari wanavyokosea.

No comments: