Friday, March 9, 2012

JK AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI IKULU LEO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini muda mfupi uliopita. Mkutano wake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam umeahirishwa hadi kesho

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwakatika mazungumzo na viongozi wa Chama Cha Madaktari nchini(MAT) Ikulu jijini Dar es salaam. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments: