Monday, March 19, 2012

Mashine za kufua umeme kwa upepo-Zikifungwa Same au Singida Tanzania itaepuka upungufu wa umeme tulionao!

Mafundi wakifunga pangaboi kubwa kabisa la machime ya kufua umeme wa upepo huko Le Carnet sehemu ya Loire Estuary karibu na  Saint Nazaire nchini Ufaransa juzi Machi 16, 2012. Kampuni ya Kifaransa ya Alstom ndiyo inayonga machine hiyo iitwayo Haliade-150 itakayokuwa na uwezo wa kuzalisha MegaWatt 6. Kazi ya kuzalisha itaanza April mwaka huu 2012

Mmoja kati ya mafundi hao wakiseti pangaboi

Mafundi hawa nao wakiweka pangaboi kwa machine nyingine.

No comments: