Friday, March 9, 2012

Siku moja nitakuwa kama hii picha, Nimejiandaaje na Maisha yajayo?

Mifupa hii ni ya mwanamke aitwaye Patty Robinson, hapa ikiwekwa vizuri ili kufanyiwa majaribio na mafunzo ya kisayansi huko San Marcos Texas Marekani.Patty Robinson alikubali kwa hiari yake kuutoa mwili wake ufanyiwe majaribio ya kisayansi. Kumbuka ni mifupa ya Patty Robinson, je ushajiuliza yeye mwenyewe yuko wapi?
The skeletal remains of Patty Robinson are seen at the Forensic Anthropology Research Facility in San Marcos, Texas on Feb. 9, 2012. Robinson donated her body for research at the school.

No comments: