Monday, April 2, 2012

ASKARI WATIMU CHUO CHA POLISI HIVI KARIBUNI

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Mh. Mbaraka Abdulwakil, akitoa zawadi kwa mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Polisi mjini Moshi hivi karibuni. Kulia  ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema,

Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka likitoa heshma. Picha zote ni kwa hisani ya Mohammed Mhina wa Jeshi la Polisi

No comments: