Monday, April 2, 2012

Nimependa sana hotuba ya Joshua Nassari kupitia TBC1

 Ni pale alipokuwa anakabidhiwa Cheti cha ushindi,hakika inapaswa kuingia katika historia...
"Tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu,na tutatawala kwa haki kwa watu wote na kumtegemea Mungu siku zote, Wametutukana sana ila wananchi wameonyesha ukomavu wao na umakini katika Siasa"

No comments: