Monday, April 16, 2012

MDOGO WAKE MAREHEMU ANGELA CHIBALONZA anaitwa "TETE"

Huyu ni mwanadada Tete Runiga Chibalonza,mdogo wa marehemu Angela Chibalonza ambaye pia ukisikia  sauti yake utagundua INAFANANA SANA na ya marehemu dada yake Angela. Hata sura zina mfanano pia. Pata "video" zake 2 hapa chini.

No comments: