Saturday, April 14, 2012

Ona RADI ilivyopiga

Radi kali ikiwa IMEWAKA karibu na tenki la maji huko Benkelman nchini Nebraska juzi Aprili 12, 2012. Radi ikiwa inawaka jiepushe kusimama karibu na vitu virefu.

No comments: