Saturday, April 14, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA MKUU MAJESHI MSTAAFU JENERALI ERNEST MWITA KIARO

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Tarime, mkoani Mara leo.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Mkuu wa Majeshi Mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake huko Tarime, mkoani Mara. Picha na mdau  Freddy Maro wa Ikulu

No comments: