Friday, May 18, 2012

Bonge wa "Clouds Fm" Apanda mgomba barabarani

Mtangazaji wa kipindi cha "PB-Power Break Fast" cha Radio Clouds 88.4 Fm,Said Bonge akipanda Mgomba katikati ya Barabara ya Mwananyamala usoni kabisa mwa lango kuu la kuingilia kwenye Hospitali ya Mwananyamala.Mtangazaji huyo amefikia hatua hiyo kutokana na uwepo wa mashimo makubwa na ya muda mrefu kwenye barabara hiyo ambayo yamekuwa ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo na WAHUSIKA HAWAFANYI CHOCHOTE KUONDOA KERO HIYO. Ngoja tuona tutakula ndizi au wataona aibu na kun'goa mgomba na kuziba mashimo

No comments: