Saturday, May 19, 2012

Anitha Mbowe ashinda taji la Redd's Miss Njiro usiku wa kuamkia leo

Redd's Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili,Winmava John (kulia) na wa Tatu,Husna Ally mara baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Klabu Triple A,Jijini Arusha.

Kipindi cha Maswali na Majibu kwa washiriki walioingia tano bora.

Washiriki wote stejini.

No comments: