Monday, May 21, 2012

Lori lenye gesi laanguka na kufunga barabara maeneo ya Mwanga mkoani Kilimanjaro

Lori lenye tank lenye gesi likiwa limeanguka na kufunga barabara,nje kidogo ya mji wa Mwanga mkoani Kilimanjaro

Wahusika wa Gari hilo wakiwa wamekaa wakitafakari namna ya kuweza kuihamisha gesi hilo kwenye gari nyingine

No comments: