Saturday, May 12, 2012

Rais Kikwete arejea toka Ethiopia, apokewa na "mvua" Dar es salaam!

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu julius Nyerere akitokea Addis Ababa nchini Ethiopia alipokwenda kuhudhuria mkutano wa World Economic Forum(WEF).(picha na Freddy Maro)

No comments: