Monday, June 11, 2012

FABREGAS AINUSURU HISPANIA KULALA KWA ITALIA




Di Natale




Natale anafunga



Fabregas baada ya kufunga na mpira wake




Italia imetoka sare 1-1 hivi punde na Hispania katika Euro 2012. Italia walitangulia kupata bao, ambalo lilitiwa kimiani na Antonio Di Natale dakika ya 60 aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Mario Balotelli, kabla ya Cesc Fabregas kuisawazishia Hispania dakika nne baadaye. Pichani Fabregas akifunga bao la kusawazisha.

No comments: