Thursday, June 21, 2012

KATUNI YA GADO-Ulaya na Afrika kiuchumi

"GADO" ni jina la utani analolitumia Godfrey Mwampembwa, mTanzania anaeishi Kenya kwa miaka mingi sasa. Nilisoma nae Azania sekondari yeye na Makamu wa Mwenyekiti wa Simba Sports Club Geofrey Nyange a.k.a "KABURU" wakinitangulia vidato viwili.

No comments: