Thursday, June 21, 2012

Wanyange wa miss Arusha walipotembelea kampuni ya bia TBL Arusha

Picha za wanyange wa miss Arusha walipotembelea kampuni ya bia TBL jjini hapa na kujionea jinsi kiwanda kinavyozalisha vinywaji aina tisa ikiwemo bia ambayo ipokaribuni kuingia sokoni ya Faru imbayo utengenezaji wake umeanza jana

wanyange wakiwa kwenye pozi tofauti ndani ya kiwanda cha bia TBL kuangalia uzalishaji wa kinywaji kilichozamini mashindano ya wanyange hapa nchini cha REDS ambapo waliongozana pamoja na walimu wao na matron wao na waandishi wa habari kutembelea kiwanda hicho.
Mashindano ya mwaka huu ya REDS Miss Arusha yanatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mount Meru hotel Jijini Arusha hapa warembo wakijifunza mambo ya uzalishaji kwenye kiwanda cha bia tbl na wameahidi kuwa REDS MISS TANZANIA mwaka huu atatoka kanda ya kaskazini na si vingine (picha Mahmoud Ahmad Arusha)


No comments: