Wednesday, June 13, 2012

MANISPAA YA ILALA YAANZA KUPENDEZESHWA

Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam imeanza kuhakikisha Dar kuna maeneo ya kushangaa na kupigia picha! Hapa ni Round about ya Bridge/India/Makunganya ( Msikiti wa Ngazija) , wanasema vitu zaidi vinakuja.  Kauli Mbiu: utajiri wa maliasili Tanzania

Mamba wa Chuma

Twiga katikati ya Jiji

No comments: