Jumatano iliyopita Ziff walifanya uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa( Ziff)yanayofanyikaga Zanzibar.
huwa yanakusanya wasanii maproducer pamoja na madirector kutoka Nchi
mbalimbali za kimataifa hii inatupaga faida kubwa sisi wasanii wa
Tanzania kujitangaza Kimataifa maonyesho yataanza miezi michache
baadaye bila shaka wasanii wengi watapeleka kazi zao kwa ajili ya tuzo
za ziff kwa kujipima na kugundua uwezo na kazi nzuri ulizozifanya
karibuni sana tuone mambo yalivyokuwa....
Baada
ya kuingia ukumbini hapo tu mtu mzima nikadakwa kwa ajili ya interview
na waandishi mbalimbali nami sikusita kuwapa ushirikiano
Nikiendelea kudadafua mambo kuhusu umuhimu wa ZIFF
Mambo yakiendelea kama kwaida..
Picha na waandaji la tamasha ilo lililofanyika ndani ya Hotel ya Slipway iliyopo Masaki
Furaha ikazidi wadau wangu
Nikakutana na Auntie Ezeckiel
Mawili matatu yakaendelea na Auntie
Auntie pamoja na washikaji zake wakiwa wanapata vinywaji
The Greatest , Kika, Sharifa pamoja na mdau Inno Bachard Mapundazzzz tukipiga story
The Greatest na mtoto mzuri Kika mdau wa tasnia
The Greatest na Shilole
Jb, Ray na Cloud tukiteta jambo
Single Mtambalike pamoja na Mkurugenzi wa Steps kampuni kubwa ya usambazaji Nchini Tanzania bwana Dilesh Solank
Steve Nyerere na Odama
Wolper na lisa
Mtitu wa 5 Effect na mkewe mtarajiwa
Mwisho
kabisa Lisa The Greatest pamoja na Wolper katika picha ya kumbukumbu
mambo yalikuwa safi sana na wasanii walijifunza mambo mengi ya msingi
No comments:
Post a Comment