Monday, July 23, 2012

MIAMI FLORIDA MAREKANI.


Hizi picha Millard Ayo amepewa na rafiki yake Rose ambae alikwenda Miami Marekani siku chache zilizopita, anasema alijitahidi kupiga picha magari ya kifahari aliyoyaona kwa kudhani yako machache lakini kumbe yapo mengi na ni kitu cha kawaida sio kama bongo.

Mpaka 2011 mji wa Miami ambao upo ndani ya Jimbo la Florida ulikua na wakazi milioni mbili na laki tano lakini jimbo zima lilikua na watu zaidi ya milioni 19.

.

Anasema kwenye mitaa mbalimbali ya Miami aliona magari mengi yakiwa yamepaki tu pembeni ya barabara kama urembo.

.

Magari ya zamani sana ambayo kwa sasa yana thamani.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Pasafi sana.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Huyu jamaa alikua anazunguka akiimba wimbo wa “Umbrella” wa Rihanna ili apewe pesa.

No comments: