Friday, August 17, 2012

UGENI MKUBWA UCC ARUSHA-

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa UCC Dr. Respicius Casmir (mwenye koti) akiwa na wafanyakazi wa UCC Arusha mchana huu. Kulia kwake ni Meneja wa tawi Mrs. Lupenza (Florence Masebo). Kushoto kwake ni Mr. David Bashosho, Emmanuel Samuel, Stephen Mishita na Antious Gerazi. Picha zaidi tazama hapa chini

Kushoto kabisa ni Mrs. Mbise (Esther Kilimba) akifuatiwa na Mr. Samuel Masasi Deputy Software Engineering Manager


Blogger wetu ni huyo kushoto kwa BOSS Casmir , Daudi Mlaule


Pozi anuwai

Hapa Esther Kilimba aliwafurahisha jambo, cheki pozi zao, Utapenda!!!!

Hoja mbalimbali zikijadiliwa

Hoja mbalimbali zikijadiliwa

Meneja Masebo akifafanua jambo

Kutoka kushoto Mishita, Masasi na Bashosho

Esther Kilimba

Arusha tunayo TV kubwa sana katika ofisi ya walimu, je unaiona kwa nyuma katikati ya vichwa vya mabosi? Na hapo lilikuwa tukio la kuhamasisha Sensa linalorushwa sasa hivi LIVE katika TV 7 za Tanzania


Asanteni wakuu kututembelea Arusha na tunawatakia safari njema mchana huu kwa ndege ya saa 9 alasiri


2 comments:

Rutaihwa said...

Hujuma imefanyika, hawa jamaa wameniacha hotelini, hah ! Big up Mlaule

asp said...

Nawapongeza sana UCC kwa kutuwezesha vijana na watanzania kujifunza na kuingia kwenye Teknolojia ya mawasiliano kwa nja ya mtandao.