Friday, September 28, 2012

WANAFUNZI WA "TAILOR-MADE COURSE" WAFANYA MTIHANI ARUSHA

Wanafunzi wetu wa Tailor-Made course "Data Analysis and Production of Feedback Materials" wakijiandaa na mtihani wenye "Pass Mark" ya 70% na wanaofeli hawapati vyeti.


Maandalizi yakiendelea

Hapa sasa mtihani umeanza. Ni wa dakika 120 na ni vitendo tupu bila maneno.


Dr. Ayuko Tanaka ambaye ni mmoja katika waandalizi wa kozi hii kutoka Shirika la misaada la Japan-JICA akiweka mambo sawa katika laptop yake.

Waliokuwa hawajaelewa maswali, kama kawaida walieleweshwaPicha pia zikapigwa sana tu, kama unavyomuona Aska Hasegawa (mwenye fulana ya kijani kulia) akiendeleza zoezi hilo

No comments: