Monday, October 1, 2012

Kozi "Data Analysis and Production of Feedback materials" yakamilika Arusha

Kaimu meneja wa Arusha Mr. David Bashosho akitoa cheti kwa msiriki wa kozi hio ndugu Sudi Aboubakar toka mkoa wa Pwani. Taswira zingine zinafuata hapa chini. Kozi ilikuwa nzuri sana, wengi tumejifunza mambo mbalimbali.

Cheti cha mmojawapo kinaonekana hiviNo comments: