Tuesday, October 2, 2012

WAJAWAZITO CHUNYA MKOANI MBEYA WANASAFIRIA USAFIRI HUU

Hapa ni kata ya Mbuyuni wilayani Chunya mkoani Mbeya. Je Serikali inaliona hili hasa katika wilaya za pembezoni? Tutafakari.

No comments: