Kutoka
kulia, Mwenyekiti wa Taasisi ya Eductaion and Expedition Agency
Association, Violeth Kaberege, mjumbe wa taasisi, Mrs Kanal Kipingu na
Mgeni rasmi Emanuel Mjema wakifuatilia hafla hiyo.
Mgeni rasmi, Emanuel Mjema akifungua rasmi harambee ya kuchangia.
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Angola, Fransisco Cassanda akikabidhi cheki ya shilingi milioni moja kama mchango wa tuzo hizo.PICHA/ HABARI : ERICK EVARIST NA GLADNESS MALLYA/GPL










No comments:
Post a Comment