Sunday, November 4, 2012

MREMBO BRIDGIT ALFRED ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA 2012

 
Mrembo aliyetwaa taji la Redd's Miss Tanzania 2012, Bridgit Alfred akifurahia ushindi wake.

Redd's Miss Tanzania 2012, Bridgit Alfred (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Eugene Fabian (kushoto) na mshindi wa tatu, Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutwaa taji la Redd's Miss Tanzania 2012 katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza jijini Dar es…

No comments: