Friday, November 9, 2012

MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MLIPA KODI YAFANA MBEYA

Mkuu wa mka Mbeya Abasi Kandoro akihutubia wakazi wa mji wa mbeya na wafanyabiashara katika kilele cha siku ya mlipa kodi sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa soko la Mwanjelwa jijini Mbeya
Meneja wa wa mamlaka ya mapato mkoa wa Mbeya Bw. Arnold .D. Maimu akisoma risala na kumkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa Mbeya
Afisa Elimu na huduma kwa walipa kodi mkoa wa Mbeya Bw.Frank Mkwe akitoa elimu fupi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi katika maadhimisho hayo ya mlipa kodi
Wageni waalikwa wakiwa makini kufuatilia matukio katika kilele hich cha siku ya mlipa kodi Tanzania
Wafanyakazi wa mamlaka ya mapato na wafanyabiashara wa mkoa wa Mbeya wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi mkuu wa mkoa Mbeya
Baadhi ya shule mbalimbali zilihudhuria sherehe hii
Wafanyabiashara na madhehebu ya dini walikuwepo katika sherehe hii
Baadhi ya wananchi wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi
Ofisi ya mkuu wa mkoa mbeya imetunukiwa cheti cha kuwa wadau wanaofanikisha kulipa kodi ya mapato
Kamanda wa polisi mkoa Mbeya Athuman Diwani akipokea cheti cha wadau wanaofanikisha kulipa kodi ya mapato mkoa wa Mbeya
Mwakilishi wa kituo cha radio Generatio fm cha mbeya akipokea cheti cha ufanikishasji na kutoa elimu ya mlipa kodi katika vipindi vya redio
Mlipa kodi mzuri Huruma Mzumbwe akiopkea cheti cha mlipa kodi mzuri katika jiji la mbeya
Mkuu wa mkoa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na walipakodi wazuri katika mkoa wa mbeya

No comments: