Saturday, November 10, 2012

JINAMIZI LA AJALI MBEYA LAENDELEA WATANO WANUSURIKA KIFO USIKU WA KUAMKIA LEO

AJALI MBAYA ILIYOTOKEA SAA SITA USIKU MAENEO YA SAE KITUONI JIJINI MBEYA  KATI YA GARI AINA YA  MISTUBISHI CANTER YENYE NAMBA ZA USAJIRI T425 BSX  LILILOKUWA LIKITOKEA TUKUYU  KUJA MBEYA NA  KUGANGANA NA TOYOTA SPRINTER YENYE NAMBA T890 BNQ  ILIYOTOKEA MAENEO YA HAPO SAE
HII NI NGUZO YA TAA ZILIZOWEKWA HIVI KARIBUNI HATA WIKI HAIJAISHA TOKA ZIWASHWE TAA HIZI TAYARI NGUZO IMEGONGWA KATIKA AJALI HIYO
TINGO NA MAMA ANAEONEKANA KWA NYUMA WALIKUWEMO KWENYE CANTER HIYO ILIYOPATA AJALI
TINGO WA CANTER ILIYOPATA AJALI AKIWA BADO AMECHANGANYIIWA HATA KUTAJA JINA LAKE ALISHINDWA
MAMA KATI YA WENZAKE WATATU AMBAO WAMEKIMBIA KWA KIWEWE CHA AJALI AKIWA HANA LA KUSEMA HUKU AKIMSHUKURU MUNGU KWA KUPONA KATIKA AJALI HIYO

KAMA KAWAIDA AJALI ZITOKEAZO USIKU VIBAKA WAMESHAIBA REDIO NA NYARAKA MUHIMU KATIKA GARI HII

No comments: