Tuesday, November 27, 2012


 
MTANDAO WA GLOBAL PUBLISHERS UMEPOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA ZA KIFO CHA KOMEDIANI NA MSANII WA MUZIKI WA BONGOFLEVA, HUSSEIN MKIETI 'SHARO MILIONEA' KILICHOTOKEA LEO MAJIRA YA SAA MBILI USIKU KWA AJALI YA GARI ENEO LA SONGA-MAGUZONI WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA. MTANDAO HUU UNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOFIKWA NA MSIBA HUU.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE!

No comments: