Sunday, December 2, 2012

Bendi ya Polisi Kenya yapiga wimbo Pii Pii wa Marlaw

Kazi za msanii  Marlaw w wa Tanzania zinatambuliwa hata nje ya mipaka ya nchi yake baada ya bendi ya Polisi Kenya kupiga wimbo wake wa Pii pii katika hafla mbalimbali. Hapa chini Bendi ya polisi ya Kenya ikipiga wimbo wa Marlaw wa 'Pi Pi Pi'   wakati wa kikao cha 14 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika Novemba 30, 2012 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
Zisikilize nyimbo hizo hapa chini, anza wimbo halisi wa Martin Lawrence Malima-MarLaw kisha chini yake sikiliza Brass Band-Jeshi la Kenya 

No comments: