| MFANYAKAZI WA UDSM COMPUTING CENTRE-ARUSHA MR. MARCEL MICHAEL NA MKE WAKE NEEMA WAKIWA NA WASIMAMIZI WAO KATIKA UKUMBI WA BENKI KUU. |
| NDOA IMEFUNGWA JIONI HII KATIKA KANISA LA TAG-CALVARY TEMPLE AMBALO LINATAZAMANA NA JENGO LA SUMMIT CENTRE ZILIPO OFISI NA MADARASA YA CHUO-UCC |
| KWAYA YA CALVARY TEMPLE IKITUMBUIZA WAKATI WA HAFLA HIYO |
| WANA NDOA NA WASIMAMIZI WAKIFUATILIA MAMBO KWA MAKINI |
| HAPA SAFARI YA KWENDA KWENYE CHAKULA IMEANZA |
| KUJISEVIA NDIO MTINDO, "LADIES FIRST" |
| TAYARI SASA KWA KUPOKEA ZAWADI |
| ABDALLAH MUNGIA AKITOA PONGEZI KWA MAHARUSI NA WASIMAMAIZI WAO, GERAZI ANAONEKANA KWA KATI NA RHODA MEENA NYUMA YA MUNGIA |
| JUMA HANZURUNI AKIMPONGEZA BWANA HARUSI MARCEL, NYUMA YAKE NI RHODA MEENA, NYUMA YAKE NI EMMANUEL SAMWEL, NYUMA YAKE NI LABANI KALAMA |
| HAPA NDIO RHODA MEENA ANAONEKANA VEMA NA NYUMA YA LABANI KALAMA NI ATHUMANI PONGWE, MTAALAM WA MAMBO MENGI |
| KUTOKA KULIA NI RHODA MEENA AKIFUATIWA NA EMMANUEL SAMWEL AKIFUATIWA NA ABDALLAH MUNGIA AKIFUATIWA NA ANTIOUS GERAZI. SHEREHE ILINOGA SANA AISEE!! |
| "MUME WA NEEMA" MR. MARCEL MICHAEL AKIMTAMBULISHA MCHUNGAJI WAKE ASKOFU WILSON KIMARO AMBAYE ALIKUWA AMEWASILI UKUMBINI MUDA HUO. |
2 comments:
Asante sana DJ admin wa blogu hii. Pamoja na wana UCC Mlikuwa sehemu ya muhimu sana ya Arusi yetu. Mungu awabariki sana. Tumefarijika sana kwa upendo mkuu mliouonesha kwetu.
Post a Comment