Monday, February 25, 2013

PICHA YA MWISHO YA REEVA KABLA HAJAUAWA NA PISTORIOUS

Hii ni picha ya mwisho iliyopigwa na kamera za CCTV ikimwonyesha marehemu Reeva Steenkamp  (29) wakati anawasili nje ya nyumbani kwa mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorious, masaa kadhaa kabla ya Siku ya Valentine, ambapo asubuhi yake alimwua kwa kumpiga risasi mara tatu.
Marehemu Reeva Steenkamp enzi za uhai wake akiwa na mpenzi wake Oscar Pistorious.

No comments: