Monday, February 25, 2013

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA BABA MZAZI WA RAIS MUSEVENI NCHINI UGANDA

 
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiweka udongo kwenye kaburi la Mzee Amos Kaguta (97) wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Rwakitura.
   Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua juu ya jeneza la Marehemu Mzee Amos Kaguta(97), Baba Mzazi wa Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika katika kijiji Cha Rwakitura nchini Uganda.
   Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimpa pole Rais Yoweri Kaguta Museveni kutokana na kifo cha Baba yake Mzee Amos…

No comments: