Wednesday, April 3, 2013

MADE IN TANZANIA


JE VIONGOZI WA SERIKALI KATA YA ILEMBO MBEYA VIJIJINI MMEIONA BENDERA HII AU SIYO YA TAIFA LETU?


HII NI BENDERA YA TAIFA LETU LA TANZANIA BENDERA HII TUMEIKUTA KATIKA SHULE YA MSINGI HAZINA KATA YA ILEMBO MBEYA VIJIJINI TUNAAMINI KABISA SHULE HUWA HAITEMBELEWI NA KIONGOZI YEYOTE YULE WA CHAMA NA SERIKALI

HIVI NDIYO INAVYOONEKANA BENDERA HII SHULENI HAPO

No comments: