Tuesday, April 2, 2013

NAJUA LAZIMA UTAPENDA PICHA HIZI.


.
.
KWA HISANI YA MILARDAYO.COM
Utafiti uliofanywa kutazama ni mrembo gani "Video Queen" wa Kenya alieandikwa sana kwenye internet toka video mpya ya P Unit ya "You Guy" itoke, umeonyesha kwamba model huyu aliecheza kwenye hiyo video Vera Sidika a.k.a Vee Beiby ndio ameandikwa sana kwa zaidi ya stori 120 kwenye internet.
Nakumbuka siku chache tu baada ya hiyo video kutoka, taarifa zilisambaa kutoka Kenya kwamba video hiyo imefungiwa kurushwa kwenye kituo cha Citizen Tv kutokana na ukali wa picha, hasa za huyu mrembo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments: