Tuesday, April 2, 2013

SIO KOSA LA DEREVA!

MI NAONA ANASHINDWA KU-OVERTAKE BKOZ BAISKELI IPO KULIA, KWAVILE ANAZUNGUMZA KISWAHILI NAAMINI YUPO NCHI ZA "KEEP LEFT". LAZIMA IRUDI KUSHOTO NDIO YEYE APITE KULIA. SIO KOSA LAKE!

No comments: