Wednesday, May 22, 2013

BABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI....


Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.----- Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes , Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuivuta. Tukio hilo la aina yake lilitokea nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na mwandishii wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake. Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote alionekana 

No comments: