Friday, May 10, 2013

BADO NI TETESI-MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA


Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May,  baada ya taarifa hizo kufika mezani kwa muhariri wa gazeti la  makorokocho ikabidi nijaribu e kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big Brother lililopo Africa kusini

No comments: