Thursday, May 16, 2013

SEMINA YA "PERSONALITY DEVELOPMENT"-UCC ARUSHA

Jana Jumatano Mei 15, 2013, UCC Arusha tulipata semina ya "NGUVU" kuhusu "Personality Development" semina hii ilipitia mambo muhimu kuhusu 1. Job Interview, 2. CV/Resume writing, 3. Job Networking and Volunteering, 4. Labor Laws. Pichani mtoa mada ndugu Javan Ochieng kutoka "Tanzania Skills Empowerment" akifafanua jambo.

Sehemu ya wanafunzi waliokuwepo katika semina hio, mbele ni Alex Kundael na nyuma yake ni  Muhole Joseph, Selemani Borry na Josephine Robert, nyuma tena kushoto ni Lulu J. Gwau, Adelfina Shokia na George Israel

Mbele kushoto ni Glory Assey na Aggrey Mzava, nyuma yao ni Debora William na Zena Salum

Kulia ni Dennis Evans George Israel na Adelfina Shokia

Satvinder Kaur Naggi (mwenye nyeusi) na Janeth Innocent (mwenye) kijani, nyuma yao ni Severa A. Munishi. Watu wa MATAIFA YOTE wanasoma hapa kwetu UCC.

Kulia ni Benedict Minde na Asha Mohammed katikati

Robson Mjema-"DMX" akiwa "bize" kufuatilia somo.

Kulia ni Happiness Jackson na wenzake, kushoto kabisa ni Allen Alexander

Saidi Mkali (kushoto) ame "Concentrate kiukweli. Na "Concentration" ilikuwa kati ya vitu vilivyotiliwa mkazo sana katika hii semina.

Emiliana  Shauri (mwisho) akifuatiwa na Jennipher Kivuyo kisha Mordekai Bitesigilwe a.k.a "Lex Mord" akifuatiwa na William A. Ombade, hapa mwanzo ni Emmanuel Elias

Usifikiri Eliarabi Elisha anasinzia hapa kushoto "Hapana" ila anatafakari kwa kina yasemwayo, si unamuona na Salim Kahema pozi la kusikilizia aliloweka? na hatimaye yule wa mwisho anarekodi kila anachosikia. Semina IMEKUWA YA MAFANIKIO MAKUBWA NA KILA ALIYEHUDHURIA AMETOKA NA ELIMU MPYA YENYE MANUFAA!                                       Hongera kwa Meneja wetu Arusha Ms. Florence Masebo a.k.a Mrs Lupenza a.k.a "Mama Joseph" kwa  kutuletea semina hii, endelea hivyo mkuu!

No comments: