TWANGA WALIVYOITEKA MAISHA CLUB USIKU WA KUAMKIA LEO
Muimbaji wa bendi hiyo, Kalala Junior, akibwagiza moja ya wimbo huku wanenguaji nao wakionyesha kazi zao.
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’, usiku wa kuamkia leo waliiteka vilivyo Club ya New Maisha baada ya kuporomosha bonge la Burudani.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)
No comments:
Post a Comment