Monday, June 3, 2013

MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).

Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Marehemu Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.

No comments: