Monday, June 24, 2013

JOYCE KIRIA HAJUI MUMEWE ALIPO-AMEPOTEA?...

by JOHN BUKUKU on JUNE 24, 2013

Mtangazaji wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria amepaza sauti kuomba msaada kwa Rais Jakaya Kikwete na watanzania kwa ujumla ili kusaidiwa na kujua aliko mume wake Henry Kileo ambaye inadaiwa amepelekwa Igunga akituhumiwa na kesi huko Joyce Kiria amesema mpaka sasa hajaambiwa kama mume wake yuko wapi hivyo hata kama ana makosa anaomba afahamishwe kwani hajui kinachoendelea mpaka sasa

No comments: