Rhoda Meena wa UCC Arusha |
Kumekuchwa, hapa akitoka kwenye training room |
Joselyne Makono wa UCC Dodoma |
Cuthbert Bwakea wa HQ |
Cuthbert na pozi lake liitwalo "Sitaki Shida" |
Mercy Mmari wa UCC Mwanza |
Anna Mwashitete wa UCC Mbeya |
Eddah Urio wa UCC City Centre |
Pozi la pamoja, Mercy, Anna na Eddah |
Jocelyne akiwa na mwanawe Sylvia kutoka Dodoma |
Mapokezi ya Hotel, dada Mercy akiwa katika pozi |
Rhoda nae si haba kwa pozi za kiArusha |
Sylvia ufukweni |
Jocelyne akifurahia upepo mwanana wa bahari |
Pamoja, Mama na Mwana |
Rhoda na Jocelyne |
Jocelyne na Rhoda wakishangaa "Aquarium" |
Sylvia na Rhoda wakijifunza kitu kutokana na wanachoona |
Misosi time, Chief Accountant Asante Bernard UCC HQ na wenzake |
Shughuli ikiendelea |
Supu kabla ya mlo kamili |
"Starter" kwa sana tu |
No comments:
Post a Comment