Thursday, July 18, 2013

NDEGE YABINUKA UWANJA WA KISONGO-ARUSHA, NA KISA NI KUPANGA OVYO MIZIGO NDANI YA NDEGE HIO.Ndege ya kampuni ya Coastal inayofanya safari zake kutokea Dar kwenda kwenye miji na mapori karibu yote yenye airstrips hapa nchini ikiwa imebinuka huko Kiwanja cha ndege cha Arusha baada ya wahudumu wake kukosea namna ya upangaji wa mizigo ndani ya ndege hiyo na pia kutokuweka vifaa maalum vya usalama vya kuzuia kubinuka! Hili ni tatizo la kuchanganya Uswahili na mambo ya kitaalamu!

As posted on JamiiForums!


No comments: