Thursday, July 18, 2013

UTABIRI JUU YA MTOTO WA KIFALME-UINGEREZA

Waandishi wa habari wametabiri mengi juu ya kuzaliwa mtoto huyu, kwamba ni wa kike au kiume, kwamba apewe jina gani, na kwamba atazaliwa lini. Du jamaa wanahemkwa ile mbaya na kuzaliwa kwa mtoto huyu wa Prince Willam na Catherine. Angalia hilo bango kupata maelezo zaidi.

No comments: