Thursday, August 1, 2013

HIVI NDIVYO MPIGA PICHA WA NEW HABARI ALIVYO FANYWA WAKATI WA MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU WA THAILAND UWANJA WA NDEGE DAR

Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa JNIA. 

Cha ajabu ni kwamba wakati vyombo vya habari vikinyanyapaliwa na kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani ya nchi yao wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana kwamba ni "miungu" na kufanya kazi zao bila bughuda kwa kupiga picha hadi uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.

No comments: