Thursday, October 31, 2013

PERSONALITY DEVELOPMENT SEMINAR- SEASON 2 EPISODE 1 (S02:E01)

KWA MARA NYINGINE UDSM COMPUTING CENTRE-ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA SKILLS EMPOWERMENT WAMEANDAA "PERSONALITY DEVELOPMENT SEMINAR INAYOENDESHWA NA MR. JAVAN OCHIENG. FUATILIA TUKIO HILI KATIKA PICHA
ESTHER  N. BULUBA (KUSHOTO), WITNESS H. NATAI NA SALMON J. BURA WAKIFUATILIA KWA MAKINI SANA.


CLARA P. MTUNGUJA NA TABASAMU LAKE


EMMANUELA K. CAROLY (KUSHOTO) NA KEDDY DAUDI


HAPA WITNESS H. NATAI ANATAFAKARI KWA KINA, WALA HAJASINZIA MDADA WA WATU, NI POZI TU


ONA HAWA WANA SEMINA (JUU NA CHINI) WAKIENDELEZA UMAKINI
IRENE A. SANCHOL (KULIA), ALBERT E. MSIGWA (KATI) NA ADVENT W. LEMA (KUSHOTO)


HUYU KAMANDA KAPIGA POZI LIITWALO "SITAKI SHARI"


MR. JAVAN OCHIENG KUTOKA TANZANIA SKILLS EMPOWERMENT AKIENDELEA NA SEMINA HIYO
No comments: